IFAHAMU KAMPUNI KUBWA YA UUZAJI WA MAGARI NA SPARE ZAKE

IFAHAMU KAMPUNI KUBWA YA UUZAJI WA MAGARI NA     SPARE ZAKE

     Habari za muda huu ndugu,Bilashaka nimzima wa afya ,pia napenda kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa afya njema.

Hivyo Basi Kama tulivyoona kwenye kichwa Cha habari hapo juu,Makala hii inahusu
Kampuni namna ya kuuza MAGARI kwa njia ya mtandaoni.zipo kampuni nyingi ambazo zinatoa huduma ya uuzaji was MAGARI kwa njia ya kupokea order mtandaoni.Eb tuingalie kampuni hii ya #beforward.

BEFOWARD











 Hii Ni kampuni inayojiusisha na biashara ya kuuza magari Kwan njia ya mtandao,yani unatembelea kwenye website yao ya beforward Kisha unachagua Aina ya gari unalolitaka ,kwa kuweza kuangalia picha ya gari husika unalolitaka ikiwemo na sifa zake.Hivyo Basi malipo yote yanafanyika mtandaoni.Kisha watakutumia gari lako bandarini.
Beforward Ni iligunduliwa na Hironori Yamakawa nchini japani (Tokyo) mwaka 2004,Hii ni moja Kati ya kampuni ya kwanza japani kuweza kufanya biashara kwa njia ya mtandao kwa kuvuka mipaka ya nchi,Yani kwa kuweza kutuma nje ya nchi.

Angalizo
Hii ni kampuni inayouza magari yaliyotumika,pia Kwan Sasa  beforwaRd wanauza electronic mbalimbali Kama simu , photocopy machine n.k


Hii Ni kampuni ya kuaminika kabisa ,ili uweze kuagiza gari yako bonyeza link hii hapa chini.



ASANTE KWA KUWEZA KUWA NAMI MWANZO HADI MWISHO.




















Post a Comment

Previous Post Next Post