Leo nimekuletea makala inayohusu jinsi ya kupata pesa kupitia website ya sproutgigs.
UTANGULIZI
Sproutgigs hii ni website ambayo ilikua inaitwa picoworkers,ilibadilishwa jina mnamo mwezi wa 9/2022.Hii website ilianza mnamo tangu mwaka 2022,Hii website inasehemu mbili(sehemu ya kwanza unajisajiri kama mwajiriwa(worker) na sehemu ya pili unajisajiri kama mwajiri(employer).
*JINSI WEBSITE YA SPROUTGIGS INAVYOFANYA KAZI*
Hii website imejikita katika Online Marketing(Digital marketing),Yaani kazi ambazo zipo huku ni za social media,Mfano kazi za :-Facebook,twiter,instagram,telegram,youtube,seo,snapchat ,linkedin,Medium.
Pia zipo kazi za softwares,Mfano Application software na website softwares.
•Ili uweze kulipwa inatakiwa ufanye kazi kwa usahihi na kusubmitt proof.
•Kazi moja inaweza kuchukua dakika 2 -5,japo zipo nyingine ambazo zinaweza kuzidi huo muda.
•Bei za kazi ni kuanzia 0.02$(0.02$,0.03$,0.04$,0.05$,0.06$,0.08$,0.1$,0.14$,0.2$,0.3$,0.4$,0.5$,1$,2$.
•Bei za kazi zinategemeana na mwajiri pamoja na ugumu/urahisi wa tasks.
muda wa kulipwa baada ya kukamilisha kazi.
Baada ya kukamilisha kazi uwa inachukua siku 1,23,4 hadi 7 kuwezwa kulipwa,ila chagua ni lako kwasababu unachagua mwenyewe,kwani zimeandikwa hii ni kazi ya siku moja,mbili au la.

.gif)
Post a Comment