BIASHARA YA MTANDAONI
Habari za muda huu ndugu ,
Leo nimekuletea Makala inayohusiana na biashara ya mtandao.
Kabla hatujaendelea ebu tuangalie maana ya biashara ya mtandao.
√Hii Ni Aina ya biashara ambayo inaweza kufanyika hata ukiwa umekaa nyumbani kwako,kitu ambacho kinaitajika Ni kutengeneza team ya watu mtandaoni.
AINA ZA BIASHARA YA MTANDAONI
Zifuatazo Ni Aina za biashara za mtandao.
√Multilevel marketing.
√Cellular marketing.
√Afiliate marketing.
√Consumer direct marketing.
√Referral marketing.
√Home based business franchising.
✓Multilevel marketing
Huu Ni mfumo wa biashara ambao unatumika na makampuni makubwa kutengeza pesa Kwan njia ya kuunda time ya mauzo ,na Kwan kuwaamasisha watu wajiunge ili mzunguko uwe mkubwa.
.Hapa mtu atapata faida kwa kuuza bidhaa ya kampuni.
✓Cellular marketing
Huu Ni mfumo wa biashara unaohusisha ufanyaji wa matangazo ya bidhaa na huduma KUPITIA smart phone, tablet n.k
✓Affiliate marketing
Huu Ni mfumo wa biashara ambao mtu upata kipato (Pesa) Kwan njia ya kumtangazia mwingine bidhaa ya kampuni fulani,kila anae nunua KUPITIA yeye na yeye upata faida.
✓Consumer direct marketing
Huu Ni muundo wa biashara ambao unatumika na makampuni kutangaza huduma au bidhaa mojakwamoja kwa wateja ,uhusisha kutuma Email.
✓Referral marketing.
Ni mfumo wa biashara ambao unaohusisha kutoa taarifa kwa watu kuhusiana na bidhaa au huduma,Kisha nawe unapata asilimia fulani endapo watu wakikubaliana na hiyo bidhaa na kuanza kutumia.
✓Home based business franchising.
Ni mfumo wa biashara ambao unaweza kufanyika nyumbani, ofisini,KUPITIA simu.Pia silazima ukutane na wateja Ana kwa Ana.
✓Home based business franchising.
Ni mfumo wa biashara ambao unaweza kufanyika nyumbani, ofisini,KUPITIA simu.Pia silazima ukutane na wateja Ana kwa Ana.
Post a Comment