IJUE KARNE YA 21 NA MAAJABU YAKE

Habari ndugu,
Bila shaka ni matumaini yangu umzima wa afya.

Leo tunaangazia kuhusiana na TECHNOLOGIA  NA FURSA YA KARNE ya 21.
.Ningependa utambue Kwanza tunaishi katika ulimwengu wa kisasa(digital world) ,ni ulimwengu uliojaa technologia kubwa na ya kushangaza,Ila sisi kwa upande wa makala yetu tunaangazia zaidi fursa kupitia uvumbuzi wa technologia katika Karne hii.
















-✓Dunia Sasa ipo kwenye Zama za taarifa (INFORMATION AGE),nikiwa namaanisha ya kwamba fursa pekee katika Karne hii ni taarifa.Pale ambapo utakapo weza kupata taarifa sahihi na kwa wakati Sahihi ,Itakupelekea kupata fursa sahii yenye kukupa mafanikio zaidi.

mfano1;-Mpesa,tigo pesa, Airtel money ,nk zilipoanzishwa tu ilikua fursa .
Inamaana kwa wale waliochangamkia hii fursa app awali bila shaka walitengeneza kiasi kizuri cha pesa.

Mfano2:- kuanzisha kwa sarafu za kidigital,kama Bitcoin,Bitcoin ilianza rasmi kutumika meals 2009 ikiwa na thamani ndogo kabisa kama $1, ila kwa Sasa Ina thamani ya zaidi ya milioni 100.Kwa wale walioigundua hii fursa mapema mpaka Sasa Wana kiwango kizuri cha pesa.














Itaendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post