JIFUNZE CRYPTOCURRIENCIES

 CRYPTOCURRENCIES(SARAFU ZA KIDIGITALI)

Bilashaka umewahi kusikia neno hili " cryptocurriency"

Ebu twende moja kwa moja tuangalie maana halisi ya cryptocurriency(ies),Hizi ni fedha za kidigital ,yani huwezi kuzishika zinatumika katika mfumo wa ki-electronic ambao husimamiwa na technologia ya blockchain.


*Blockchain technology,Huu ni mfumo ambao hutumika kurecord taarifa zote za miamala inayofanya na cryptocurriency,naweza kuita kama ni muhasibu. Inamaana kuwepo kwa hii technologia ya blockchain haiitaji uwepo wa middle man(mtu wa kati anayeshughurikia miamala).


Mfano wa cryptocurriencies(Sarafu za kidigital):- Bitcoin,Etherium,Ripple,Monero,Usdt,Litecoin,Dash,Fantom,Tron,nk

Hizi fedha zipo nyingi sana,,ni zaidi ya elfu2 na kila kukicha huwa zina zidi kutengenezwa.


Ipi sarafu ya kidigital ya kwanza?????

Bitcoin ni sarafu ya kidigital ya kwanza ambayo ilitengenezwa january 3 mwaka 2009,Hii sarafu ilitengenezwa na mtu asiyejulikana ambaye alijiita jina hili(Satosh Nakamoto).


Utofauti uliopo kati ya cryptocurriencies na pesa za kawaida(paper money/coin money/Mobile money)


.cryptocuriency hizi pesa ambazo huongezaka thamani au hupungua kwakutegemeana na sababu fulani,Mfano taarifa fulani ya mtu maarufu kama billget,Elon musk na makampuni makubwa ulimwenguni huweza kuathiri bei ya hizi sarafu.WAKATI pesa za kawaida (paper money/digital money )hizi ni pesa ambazo  hazibadiliki thamani ,mfano 2000Tsh,3000Tsh itabaki kua hivyo hivyo.






Post a Comment

Previous Post Next Post