UTANGULIZI
Leo ninakuletea makala inayohusu mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza kufanya kazi kwenye website ya "Sproutgigs" kwa beginner.
*Ili uweze kutengeneza pesa nzuri kwenye website hii hivyo unapaswa kujifunza baadhi ya vitu vichache.
YAFUATAYO NI MAMBO YAKUZINGATIA KWA BEGINNER WA SPROUTGIGS.
•Uchaguzi wa kazi(tasks),Hiki ni kipengele chakuzingatia sana,kwasababu kama wew ni beginner unapaswa kuchagua kazi nyepesi.
Zifuatazo ni tasks nyepesi ambazo beginner anapaswa kuanza nazo:-
.Facebook tasks.
.Twiter tasks.
.gmail task.
.Sign up task za kawaida.
.instagram tasks.
.Reddit tasks.
.Snapchat tasks.
.Mobile App download tasks.
Kama zilivyo olozeshwa hapo juu ,ni muhimu kuzingatia ili uweze kupanda level . (kwasababu unavyo anza ,unaanza kwa level ya starter)
•Kufanya tasks kwa usahihi:Unapaswa kufanya tasks kwa usahihi ili uweze kulipwa,kwasababu kama ukifanya vibaya hulipwi.
•Kuchagua tasks zinazolipwa kwa haraka:Tasks kwenye sprout gigs hulipwa baada ya muda fulani uliopangwa na mwajiri wako.Mfano zipo task ambazo utalipwa baada ya siku 1,2,3,4,5,6,7 (Japo wapo waajiri ambao ulipa kwa masaa machache)
•Success rate na Temporaly success rate: kwanza nianze na success rate,kwenye sproutgigs success rate inamaanisha kiwango cha mafanikio ya kupata tasks(satisfied tasks) dhidi ya kukosa (unsatisfied tasks)+pending tasks(tasks zinazosubiri kuhakikiwa) inabidi muda wote success rate iwe zaidi ya 75% ,Lasivyo utadhuiriwa kufanya tasks.Eb tuangalie temporaly success rate,Hiki kiwango kinachozibiti ku submit tasks kwa beginner,Kwa level 1(starter) uta submit pending tasks 50 tu.na hautaweza kuendelea mpaka ziwe aprove.Hapa pia inaitajika success rate iwe zaidi ya 75% ndani ya siku 60.

•kujaza submission proof kwa kutumia mfumo wa Web-browser history:Huu ni mfumo ambao mm ninapenda kuutumia kwasababu unarahisisha ujazaji wa uthibitisho baada ya kufanya tasks.
-->Mfumo huu utakuitaji mara tu baada ya kumaliza kufanya tasks kubonyeza kwenye browser history na kuchukua uthibitisho wa link(hii ni kwa SEO tasks)
•Inaitajika kua na account mbali mbali za social media:-,mfano :facebook,twiter,instagram,redit,producthunt,medium,spotify,linkedin ,nk.(unaweza ukatumia akaunti binafsi ambazo unazo,kama hauna moja wapo hakikisha unajisajiri)
•Inaitajika uwe na digital wallet/wallet za kidigitali:-Hizi ndizo ambazo zinatusaidia kuweza kupokea malipo yetu.Mfano wa digital wallet ni binance wallet,Remitano wallet,wallet,Skrill wallet.
•Inaitajika uwe na active email :-Tumia email ambayo ni yako na pia hakikisha unaijua hadi password yake vizuri,Email inatumika wakati wakulog in na wakati wakuwithdraw dollar zako,wakati huo utatumiwa one time password(OTP) ili waweze kucomfirm kua ni wewe.



Post a Comment