FAIDA ZA APPLE,NDIZI NA NANASI MWILINI.

 




FAIDA ZA  APPLE(MATUFAA)KIAFYA

Zifuatazo ni faida zinazotokana na tunda hili aina ya Apple.

i.Huimarisha kiwango cha sukari katika damu.

ii.Hushusha shinikizo la damu.

iii.Hushusha Kolestro.

iv.Dawa nzuri ya ugonjwa wa moyo.

v.Huongeza hamu ya kula.

vi.Lina kemikali yenye uwezo wakuzuia saratani.

vii.Hupunguza sumu mwilini.

viii.Huimarisha kinga ya mwili.

ix.Hurainisha choo.

x.Hupunguza lehemu mwilini.
















FAIDA ZA NDIZI MBIVU KIAFYA.

Zifuatazo ni faida za kula ndizi mbivu kiafya.

i.Inauwezo wakurekebisha mfumo wa tumbo.

ii.Ndizi inauwezo mkubwa wa kuondoa unyovu au huzuni.

iii.Inauwezo wa kupunguza shinikizo la damu na hatari ya ugonjwa wa moyo.

iv.Inasaidia mifupa kuwa imara zaidi.

v.Inasaidia kuzuia upungufu wa damu mwilini.

vi.Inatupatia nguvu kama italiwa kila mara.

vii.Hupunguza maumivu wakati wa hedhi.

viii.Inatupatia nguvu ya ubongo.

ix.Husaidia kuzuia vidonda vya tumbo.















FAIDA ZA NANASI KIAFYA

Zifuatazo ni faida zinazotokana na tunda hili aina ya nanasi.

i.Husaidia kwa kiwango kikubwa kwa wale wenye matatizo ya choo.

ii.Linauwezo wakutibu ugonjwa wa athma.

iii.Ni miongoni mwa tunda lenye uwezo wakurudisha kumbukumbu.

iv.Husaidia kusafisha utumbo mwembamba.

v.Nanasi husaidia kuimarisha mifupa,meno,neva na misuri(muscles)

vi.Hutibu matatizo ya Bandama.

vii.Hutibu matatizo ya ini.

viii.Husaidia kutibu homa.

ix.Husaidia kutibu vidonda mdomoni.

x.Husaidia kutibu magonjwa ya koo.

xi.Husaidia kutibu magonjwa ya akili kukosa mori.

xii.Husaidia kutibu kikohozi.

xiii.Husaidia kutibu tatizo la kutetemeka.

xiv.Husaidia kutibu tatizo la woga.

xv.Hutibu tatizo la baridi yabisi.

xvi.Huondoa shida ya kufunga choo.


















Post a Comment

Previous Post Next Post