Zifuatazo ni faida zitokanazo na kufanya mazoezi:-
i.Hukufanya ujisikie vizuri.
ii.Huongeza uwezo wa kujifunza.
iii.Hujenga uwezo kujistahi.
iv.Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi.
v.Huuweka mwili wako kuwa unaofaa(fit) na wenye uwezo.
vi.Huongeza afya ya akiri yako.
vii.Huongeza kinga ya mwili.
viii.Hukufanya ujiskie vizuri na mwenye furaha.
ix.Hukufanya usizeeke mapema.
x.Huweka ngozi yenye mng'aro na yenye afya.
xi.Husaidia kupata usingizi mtulivu.
xii.Husaidia kuzuia ugonjwa wa kiharusi.
xiii.Huondoa wasiwasi.
xiv.Huongeza kumbukumbu.
xv.Huongeza uwezo wa ubunifu.
Xvi.Huongeza afya ya moyo.
xvii.Hukomaza mifupa.
A.
B.


Post a Comment