JINSI YA KUFANYA KAZI ZA "SEO" KWENYE SPROUTGIGS.







 Utangulizi,

Tasks za seo kwenye sproutgigs ni tasks zenye faida sana,kwasababu hizi tasks zipo nyingi sana na nyingi wanalipa kwa masaa 24.

Ebu tuangalie sasa jinsi ya kufanya hizi tasks  za "SEO" Kwenye sproutgigs.











Tasks za seo zina vipengele viwili,

i.Main website.

ii.Sub-website/Ad(Tangazo)


Hatua ya kwanza

Log in kwenye account yako ya sproutgigs,chagua task ya SEO kwenye category.


Hatua ya pili,

Chagua tasks yenye maelezo machache (kwa mtu anayeanza), Kisha unapaswa kusoma maelezo ya jinsi ya ufanyaji wa kazi kwa umakini(What is expected from workers)

Kisha baada ya kuelewa nini chakufanya ,unapaswa ku bonyeza link ya kwanza ambayo ndiyo inakua main point(huwa inaandikwa "Go to" hii link itakupeleka kwenye website/blog ya mtu aliye kupa kazi.

Hapa itakuitaji kwenda moja kwa moja kwenye main website/Tovuti kuu.



Inatakiwa ufungue iyo link mpaka uikute website ya mtu aliyekupa kazi,piakuna maelezo ya ziada ambayo mwajiri wako anakupa,unapaswa kusoma kwa makini ili usije ukakosea website ya kwenda kufanyia kazi yako.
Ukishafika kwenye website husika utaona muonekano kama huu hapa chini.

Huo hapo juu ndio muonekano wa website ya mtu aliyekupa kazi.(sasa hapo ndipo penye main point)

**kitu cha kufanya ukishafika hapo:-

Unapaswa kufungua post 10,Unafungua moja kisha unazuga kwa sekunde30,af unaenda kufungua ingine.(NOTE:unapaswa kutumia dakika 3 jumla kupitia izo post 10.

Hatua ya tatu :-

Hii hatua inahusisha kwenda kufungua Tangazo/Ad,Tangazo lenyewe ni hili hapa chini mfano wake,



Hapo juu iyo picha inaonesha tangazo likiwa kwenye website,

***kitu ambacho unapaswa kufanya hapo:-

Hapo inatakiwa ulibonyeze ilo tangazo mpaka lifunguke,kisha fungua tena kurasa 2 ndani ya hilo tangazo(inatakiwa ulipitie tangazo kwa dakika 1),Angalia picha chini hapa (hii picha inaonesha tangazo likiwa limefunguliwa na kurasa zake mbili ambazo zinapaswa kufunguliwa pia)


Hapo juu ni picha inaonesha sehemu za ndani za tangazo baada ya kulifungua kwa mara ya kwanza,Kwaiyo kama ukibonyeza izo sehemu nilizoziwekea mishale utakua umefungua kwa mara ya pili.

Hatua ya nne:-

Hii ni hatua ya mwisho hii ni hatua ambayo itakuitaji kuweza kujaza uthibitisho(submitt proof),hatua hii inahusisha url(link) ikiwemo za tangazo na website,Mwajiri wako ndio ambaye anakupa muongozo mzima wa vitu vya kujaza.

Hapo juu unapaswa kujaza kadri ulivyoambiwa na mwajiri wako,Hivyo jaza kwa makini ili upate kulipwa.











Post a Comment

Previous Post Next Post