Utangulizi
Hapa tunaangalia namna ya kufanya forex trading kwa kutumia mfumo ambao unajiendesha wenyewe(automated trading system/Robot).
Forex Robot,huu ni mfumo ambao forex trader anautumia kwa lengo la kutrade forex kwa ufanisi na umakini mkubwa.Huu mfumo ni muunganiko wa ujuzi wote unaoitajika katika kufanya forex,yani huu mfumo unauwezo wa ku place order ya kununua na kuuza kwa haraka sana.
Kwakutumia huu mfumo husaidia kupunguza hisia pindi unapokua unafanya trading ,mfano akiri ya kawaida inaweza kusisita na kuisi unaweza kupata hasara endapo utafungua order ya kuuza/kununua ,ila kwa kutumia huu mfumo husaidia kuepukana na mambo kama hayo.
Je?Naweza kupata faida kwa kutumia Robot kwenye Forex.
Jibu ni ndiyo,Endapo kama utachagua Robot mzuri basi tegemea kupata matokeo mazuri pia,yani utapata faida.
Je?Naweza kupata hasara kwa kutumia robot kufanya trade.
Jibu ni ndiyo kama utatumia robot mbaya.
Namna ya kuanza kufanya forex kwa kutumia Robot/Automated system.
i.Inatakiwa ujisajiri kwenye website ambayo inahusika na iyo huduma ya automated trading.
ii.inatakiwa uwe na file la Robot wako kwenye simu.
iii.Inatakiwa uwe na smartphone/Computer ambayo utaitumia kufanyia trading.
•Jinsi ya kujisajiri kwenye website inayohusika na automated forex trading.
Hapa inatakiwa uchague broker wa kutumia kufanyia trading,Mfano Binary option broker,kwa kutumia binary option broker tunapata wepesi wakuweza kufanya trading kwasababu ni rahisi kumtumia robot wako.
Kwaiyo inatakiwa uingie kwenye browser ya google chrome na uandike "www.binary .com" kisha jisajiri kwa kujaza email yako na taarifa zingine muhimu mfano majina yako kamili(weka majina yako halisi na Kumbuka kuverify email)
•Jinsi ya kupata forex robot.
Inatakiwa uwe na file la robot ,Forex robot tunampata kwa kununua au kupewa,kwaiyo hakikisha tiyari umeshatafuta robot wako kwanza.
•Kifaa chakutumia kufanyia trading.
Unaweza kutumia simu au computer,Japo kuna robot wengine hawajatengenezwa kutumiwa kufanya trade kwa kutumia simu,ila kwa kutumia broker binary unaweza kutumia simu kutrade.


Post a Comment