Zifuatazo ni faida zinazotokana na kula matunda haya:-
Faida za zabibu kiafya.
i.Husaidia kuepukana na shambulio la moyo.
ii.Husaidia kuepukana na bawasili.
iii.Husaidia hatari ya kukumbwa na kiharusi.
iv.Husaidia katika tiba na kinga dhidi ya magonjwa ya ini.
v.Husaidia kupunguza uchovu wa mwili na kutibu maumivu.
vi.Husaidia tumbo na utumbo kufanya kazi kwa ufasaha.
vii.Hutibu tatizo la upungufu wa damu.
viii.Zabibu inauwezo wa kuupa mwili nguvu na kuimarisha afya ya damu.
ix.Husaidia kutibu pumu.
Faida za limao kiafya.
i.Husaidia kutoa uchafu mwilini.
ii.Husaidia kuleta harufu nzuri ya kinywa.
iii.Husaidia kuleta nguvu mwilini.
iv.Husaidia kupunguza uzito /nyama uzembe.
v.Husaidia kuongeza kinga ya mwili.
vi.Husaidia kuzuia uvimbe.
vii.Huondoa mikunjo na makovu mwilini.
viii.Ni dawa ya kukufanya uache kunywa kahawa.
Faida za chenza kiafya.
i.Husaidia kuongeza vitamini C mwilini.
ii.Husaidia kuongeza nguvu kwenye misuli na kuimarisha mifupa.
iii.Tunda hili husaidia kuzuia uvujaji wa damu katika fizi.
iv.Huondoa maumivu ya viungo sambamba na kuwasaidia wale wenye udhaifu wa kuona.
v.Chenza huwasaidia wale wenye tatizo la mawe ya figo na kibofu na uvimbe chini ya tumbo.
vi.Husaidia kusafisha mkojo.

.jpg)

Post a Comment