JINSI YA KUJAZA "URL" KIRAHISI KWA TASKS ZA SEO.

 





Hapa tunaangalia namna ya kujaza proof  kirahisi baada ya kazi,Baada ya kufanya kazi ya  SEO unatakiwa kujaza submission proof kwa ufasaha ili uweze kulipwa.

Sasa hapa ili uweze kufanya kazi hii kwa ufasaha inatakiwa utumia google chrome browser,Google chrome browser hii ni browser ambaye inafanya kazi vizuri na ni rahisi kuweza kupata rejea ya website/tovuti ulizo zifungua.











Kwaiyo baada ya kupitia zile post  10 na kurasa mbili za tangazo(Ad) ,sasa unapaswa kwenda kujaza proof,ili uweze kupata  url kirahisi utafungua google  chrome yako ambayo uliokua unaitumia kufanyia kazi.

Fuata maelekezo haya,

I.Hatua ya kwanza

Utabonyeza menu kwenye google chrome  ,ni vidude vitatu kama ivi (:),Angalia chini picha:-



II.Hatua ya pili.
Baada ya kubonyeza hapo ,ikifunguka utachagua history (Sasa hapo kwenye history ndipo zinapopatikana url kirahisi).Angalia picha chini:-


Kwaiyo ukibonyeza history ,itafunguka kama hivi chini:-



Baada ya hapo,itabidi uminye kwa nguvu url ili upate url unayoitaka.Angalia chini:-



Baada ya kuminya iyo url unayoitaka,sasa itabidi  ubonyeze "menu" ivyo vidude vitatu juu,(ukibonyeza hapo itatokea option ya  ku copy.Angalia chini:-

Kwaiyo hapo juu ukibonyeza copy,,utakua umecopy url yako kisha utaenda ku paste kwenye submission proof box kwenye kazi ya sproutgigs ambayo uliyokua unaifanya.




*NOTE(I): Sasa ili kwenda kujaza url zako kirahisi kwenye kazi ile ile ,utabonyeza hapa hapo hapo kwenye history ila chagua sproutgigs ya juu kabisa.Angalia chini:-





NOTE(II): Baada ya kwenda kujaza url zako sasa unapaswa tena  kwenda kuchukua url nyingine,ilii usipoteze muda unapaswa kubonyeza back button ya kwenye simu.Angalia picha chini.



Thankyou.















Post a Comment

Previous Post Next Post