UTOFAUTI WA IPHONE NA SMARTPHONE ZINGINE.

 TOFAUTI KUU YA IPHONE NA SMARTPHONE ZINGINE NI MFUMO WA UENDESHAJI PAMOJA .

i/ Iphone ni simu zinazotumia mfumo wa pekee  wa uendeshaji(Ios),wakati smartphone zingine zinatumia mfumo wa kawaida wa Android.











•Hizi ni simu za kipekee kwasababu zinatumia mfumo wake(Ios) ambao ulianzishwa na mwanzilishi wake Steve jobs,Hivyo kutokana upekee huo upelekea umaridadi mkubwa na gharama kua kubwa zaidi,Pia hizi simu za iphone umilikiwa zaidi na watu wenye kipato kikubwa na cha kati.Tukiangalia smartphone zingine hizi ni simu za waliowengi yani watu wenye kipato cha kawaida na hata bei yake ni ya kawaida sana,Hivyo ni rahisi kumudu gharama ya smartphone nyingine kuliko iphone.



ii/ Iphone ni simu zinazotengenezwa na kampuni ya Apple,wakati smartphone zingine ni simu zinazotengenezwa na kampuni ya google.


•Ni kampuni moja tu ambayo utengeneza simu za iphone ,Na iyo kampuni ni yakimarekani ambayo ilianzishwa na mtu aliyekua anaitwa STEVE JOBS,huyu kwa sasa ni marehemu.steve jobs alileta mapinduzi makubwa kwa kuweka ushindani zidi ya vifaa vinavyotumia mfumo wa Android .



iii/iphone ni simu ambayo ina Lugha 40,wakati smartphone zingine zinalugha zaidi ya 100.

Kutokana na upekee wa simu za iphone hivyo hata watumiaji ni wachache kutoka nchi mbalimbali,hivyo imepelekea kutokua na lugha nyingi za mataifa mbalimbali.



iv/Iphone ilianza rasmi tareh 29June 2007,wakati smartphone zingine zilianza tarehe 23 september 2008 .


v/Iphone ni simu yenye gharama kubwa sana,Wakati smartphone zingine ni simu zenye gharama ya kawaida.


vi/Iphone ni simu yenye usalama mkubwa ni ngumu kudukuliwa(Hacking),wakati smartphone zingine ni simu zenye usalama mdogo ni rahisi kudukuliwa na Hacker.


















Post a Comment

Previous Post Next Post