Utangulizi
Teknolojia imekua sana kwa siku hizi,kila kukicha wanasayansi na watafiti mbalimbali wamezidi kugundua na kuboresha vitu mbalimbali,Mfano Magari,computer,Simu,saa,dhana za kilimo ,vifaa vya kulimia ,nk.
Magari ya umeme
Haya ni magari ambayo hutumia moja kwa moja nishati ya umeme kupitia bettry maalumu iliyowekwa kwenye hiyo gari,Magari haya yana bettry kubwa ambayo uchajiwa na iyo bettry ndiyo hutumika kuendeshea engine nzima ya gari na mifumo mingine ya gari.Mnamo mwaka 1832 Robert Anderson aliunda gari la kwanza ila mnamo mwaka 1880 haya magari ya umeme ndipo yalipoanza kutumika rasmi.Haya magari kwa sasa yameenea sana duniani kote ila zipo nchi ambazo haya magari ya umeme yanapatikana kwa wingi,nchi izo ni :-Norway,Iceland na sweeden,bilashaka ukiingia barabarani utakutana na magari haya kwa wingi sana.
Jinsi magari haya yanavyopata nishati ya umeme.
kama tulivyoona hapo juu kwenye utangulizi haya magari ya umeme uchajiwa,Huwa inachukua dakika 20 hadi 30 kuweza kujaa charge kabisa wakati wa kuchajiwa.Uwepo wa bettry kubwa lenye uwezo wa kutunza chaji kwa muda mrefu na kuhifadhi volt kubwa ya umeme ufanya magari haya kuweza kutembea kwa muda mrefu bila kuchajiwa.
Wapi naweza kuchaji gari la umeme??
Bila shaka hili ni swali la kila mtu,Jibu !Unaweza ukajiwekea mfumo wako wa kuchaji nyumbani na pia sehemu za mikusanyiko mikubwa ya watu huweza kukuta vituo vya kuchaji gari yako.
Viwanda vinavyotengeneza magari haya ya umeme.
•Tesla
•Lucid Motors
•Zoox
•Aptiv
•Rivian
•Nio
•Nissan
•Volvo
Bei za magari ya umeme,Zipo bei tofautitofauti kulingana na aina ya gari pamoja na ubora,mfano uwezo wa kuhifadhi chaji ,speed na materials zilizotumika kuunda.Ila yanauzwa bei ghari sana.
Zifuatazo ni bei tofauti za magarVi ya umeme:-
Tesla Model Y (65,990$
Tesla Model 3(46,990$)
Ford Mustang mach-E(46,895$)
Tesla Model X(120,990$)
Hyundai IONIQ5(39,950$)
KiaEV6(41,400$)
Tesla Model S(104,990$)
Nissan LEAF (27,800$)
Kia Niro Electric (39,990$)
Audi e-tron(70,800$)
Tizama picha zaidi za aina tofauti za magari ya umeme:-
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
Post a Comment