Utangulizi
Editing ya picha ni muhimu sana kwasababu unogesha picha na kuleta mvuto zaidi.kutokana na technolojia kuzidi kukua hivyo unaweza sasa ku edit picha zako mwenyewe kwa kutumia hizi application.
Zifuatazo ni app 5 bora ambazo hutumika kufanyia editing ya picha.
i.Picsart.
ii.Adobe Light room.
iii.Pixlr.
iv.Canva.
v.Youcam perfect.
Picsart
Hii ni application bora sana katika mambo ya kufanyia editing ya picha,pia hutumika kueditia video.Hii application ilitengenezwa na Hovhannes Avoyan(CEO) ambapo aliigundua 2011,inawatumiaji zaidi ya watu billion1,na zaidi ya nchi 180 wameidownload hii Application.Hii Application ni nzuri sana.
Adobe Light room
Application hii imeundwa na Adobe inc mnamo December 13,2021.Hii Application hutumika kufanyia editing ya picha na video,Pia unaweza hata kudownload kwenye computer.
Pixlr
Application hii imeundwa na Ola sevandersson August 2008,Hii application utumika kufanyia editing ya picha na hupatikana katika lugha 29,pia unaweza kuidownload kwenye computer,mnamo mwaka 2021 wali update hii Application na kuongezea mifumo ya kufanyia editing.
Canva
Hii application imeundwa na kampuni ya australia (Canva pty Ltd) ambayo iliunda hii application august 2013.Hutumika kwenye simu pia kwenye computer inapatikana kwa zaidi ya lugha 100.Faida ya hii Application ipo mpaka kwa lugha ya kiswahili,Hivyo ni wew kama utaamua kutumia kiswahil.
Youcam perfect
Hii application ni bora ambayo hutumika kufanyia editing ya picha ,hii application imeundwa na "perfect corp".Hii application inavitu vingi ambavyo vinaweza kukusaidia kufanyia editing ya picha yako na kuonekana yenye mvuto.

.png)

.png)

Post a Comment