JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA BINANCE.







 Utangulizi.

Maana ya Binance:-Binance ni kampuni au jukwaa ambalo hujiusisha na huduma za cryptocurrency /sarafu za kidigital ,mfano:-Bitcoin,usdt,etherium,Monero,Trons,nk.Binance ni Application ambayo inatambulika sana kwa umaarufu wake wakuweza kutoa huduma ya cryptocurrency kwa uharaka zaidi na usalama mkubwa.App hii inapatakana kwa watumiaji wote wa smartphone (ios &os).


Mmiliki na mgunduzi wa binance App anaitwa changpeng zhao,ambapo aliiunda 2017.Huyu ni mchina ,mwanzoni hii app ilikua ikitumika china pekee ila kwa sasa imesambaa duniani kote.

Je ? Kuna faida za kutumia hii App.

Jibu ni ndiyo faida ipo zipo nyingi sana.


Zifuatazo ni faida zakutumia Application ya binance.

  1. Hutumika kununulia na kuuza cryptocurriency/sarafu za kidigital.mfano bitcoin,usdt,etherium,litecoin.
  2. Hutumika kutuma cryptocurriency (bitcoin,litecoin,trons) kwenda kwenye digital wallet nyingine.
  3. Hutumika kuhifadhia cryptocurriency.ni digital wallet.
  4. Unaweza kupata kipato cha kilasiku kupitia hii app kwa kuwekeza kwenye sarafu hizi za kidigital.
  5. Inausalama mkubwa sana wa fedha utakazo weka,Binance ni kampuni kubwa yenye mamillion ya watumiaji katika nchi zote.
  6. Unalipwa au kulipa kupitia simu,mfano:Mpesa,tigopesa,airtelmoney,T-pesa,Halopesa ,nk.


banner



Jinsi ya kufungua akaunti ya binance.

Vifuatavyo ni vitu ambayo unapaswa kuwa nayo pindi unapotaka kufungua akaunti ya binance.

i.Email(gmail)
ii.Kitambulisho cha taifa/mpiga kula.
iii.Namba ya simu.

NOTE: Email inatakiwa iwe ile ambayo ni yakwako mwenyewe na uwe unaijua password yake.Pia namba ya simu inapaswa iwe yako,email& namba ya simu utumika wakati wa kulogin,kwaiyo ni muhimu sana.

Sasa iliuweze kufungua akaunti ya binance hatua ya kwanza ingia playstore kisha download binance Application,ifungue utakuta wkunasehemu wanataka ujaze taarifa zako kama jina (Jaza jina lako kamili,kwasababu hilo jina litahakikiwa na kitambulisho chako),jaza email kisha nenda kaingie kwenye gmail app kuverify,pia jaza oTp watakazo kutumia kwenye sms ya namba yako ya simu.

Tizama picha zaidi ya muonekano wa form ya kusignup.















Kwaiyo baada ya kujaza taarifa hapo juu,sasa unapaswa kuverify namba ya simu.(watakutumia sms yenye namba za kujaza).Tizama picha zaidi.




















Kisha utapaswa kuverify email,itabidi uende kwenye gmail app kuchukua code ili urudi kujaza kwenye application yako.
























Baada ya hapo itafunguka,ikifunguka set standard mode,huu muonekano ndio ambao tunautumia.usitumie elite mode.




















Sasa unapaswa kuhitimisha kwa kufanya verification ya identity,kwenye hiki kipengele unapaswa kua na kiambulisho cha taifa au kura.Hapa bonyeza kwenye profile yako ili ikupeleke kuverify ,Hakikisha imeandikwa verified kama unavyoona kwenye picha hii chini.






Iyo ni verified binance wallet.














Post a Comment

Previous Post Next Post